Mikopo ya kifedha kwa wafanyabiashara na wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.

– Riba na masharti nafuu zaidi

– Mikopo inapatikana kwa haraka 

– Mikopo ya muda mfupi

 

Together, Tunasonga Mbele..!

Taasisi bora Tanzania kwa huduma ya mikopo ya Kifedha kwa Wafanyabiashara na wafanyakazi.

Wicom Finance Ni taasisi ya kifedha inayotambulika kisheria, inayojihusisha na utoaji wa Mikopo ya kifedha kwa wafanyabiashara, wajasiriamali, watumishi wa serikali na makampuni binafsi. Wicom Finance Limited imesajiliwa chini ya Sheria ya Kampuni ya 2002 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

OUR LOANS

  • All
  • Group Loan
  • Individual Loans

WICOM FINANCE YATOA MAFUNZO YA KIJASIRIAMALI

Taasisi ya kifedha WICOM FINANCE, imetoa mafunzo ya kijasiriamali na elimu ya kifedha kwa wakina  Mama wajasiriamali. Mafunzo hayo yaliyofanyika Tabata jijini Dar es salaam yaliyohudhuriwa na kikundi cha Wanawake wajasiriamali wa Tabata, yalilenga kuwaelimisha …

Inuka Loan

Inuka nasi kwa mkopo wa kuanzia  Tsh 100,000 hadi 500,000 Muda wa mkopo ni kuanzia mwezi 1 hadi miezi 3. Uhuru wa kuchagua njia ya marejesho siku, wiki au mwezi. Dhamana ni pikipiki, bajaji, magari, …

Simama Loan

Simama imara na mkopo wa kuanzia 500,001 hadi 3,000,000 Muda wa mkopo ni kuanzia mwezi 1 hadi miezi 6. Uhuru wa kuchagua njia ya marejesho siku, wiki au mwezi. Kwa dhamana ya gari, kiwanja, shamba, …

Kitita Loan

Kiwango cha mkopo huu ni kuanzia 3,000,001 – 5,000,000. Muda wa mkopo ni kuanzia mwezi 1 hadi miezi 6. Uhuru wa kuchagua njia ya marejesho siku, wiki au mwezi. Dhamana; Gari, kiwanja, nyumba, mashine na …

Kitita Plus Loan

Kiwango ni kuanzia 5,000,001 hadi 50,000,000 Muda wa mkopo ni kuanzia mwezi 1 hadi miezi 6. Uhuru wa kuchagua njia ya marejesho wiki au mwezi.Dhamana ni Gari, kiwanja na nyumba

Watumishi Loan

Mikopo kwa watumishi wa serikali na makampuni binafsi , kiasi cha kuanzia 100,000 hadi 50,000,000 kulingana na kipato chake (mshahara) Mkopo huu unadumu kwa kipindi cha mwezi 1 hadi miezi 60 kulingana na mahitaji ya …

Our Customer Successful Stories

These are some of the views from our clients and customers who have over time interacted with our products our services, and we are happy to let them speak on our behalf on their experiences relating with us.

client

Kishimba Kulula

Kishimba Kulola

“Since I started dealing with WICOM I have found the staff very efficient and understanding, they listen to customers issues and try to solve them professionally. I recommend that you open more Branches countrywide so that more customers can access your services and products.

THANK YOU AND KEEP IT UP.”

client

Joseph Kihiyo

Joseph Kihiyo

“I have been your customer for the last two years. I have benefited a lot from your financial assistance. The loan has assisted me to sort out some urgent matters. Your interest rate is quite reasonable. Your processing time is also very fast.

Thank You for all your support.”

client

Sospeter Mashaka

Sospeter Mashaka

“Since I started dealing with WICOM I have found the staff very efficient and understanding, they listen to customers issues and try to solve them professionally. I recommend that you open more Branches countrywide so that more customers can access your services and products.

THANK YOU AND KEEP IT UP.”